Ruwaza ya Kenya 2030 (Kiingereza: Kenya Vision 2030) ni mpango wa maendeleo ya kiuchumi wa serikali ya Kenya kuendeleza maeneo mbalimbali ya kiuchumi katika maeneo mbalimbali ya nchi. Malengo ya mpango kuzalisha ukuaji wa uchumi wa mwaka wa 10%. [1] Hivi sasa, Kenya ina ukuaji wa Pato la Taifa 4.9% (2007). Maono haya yamefululizwa katika miaka mitano mitano ya mipango, mwanzo wake ukiwa 2008-2012. Mpango wa kwanza unaazimia uwekezaji katika sekta sita muhimu na miradi ishirini kabambe .[2] Sekta zilizolengwa ni pamoja na utalii, kilimo, viwanda, biashara, teknolojia ya habari, na huduma za kifedha.
Ruwaza ya Kenya 2030 ilitengenezwa mwaka upi?
Ground Truth Answers: 2008
Prediction:
Kulitangazwa 10 Juni 2008, kwamba wilaya ya Isiolo, itakuwa ya kwanza ya mradi wa kewekezwa. Mpango unazimia kuufanya mji wa Isiolo kuimarika kama eneo la kitalii ambalo litajumuisha kasino, mahoteli, masoko rejareja, uwanja wa ndege wa kisasa na vifaa vya usafiri.[3]
Ruwaza ya Kenya 2030 ilitengenezwa mwaka upi?
Ground Truth Answers: 20082008
Prediction: